huu ndio ujasiri(Ujasiriamali)

Kuna watu wengi sana wanaolalamika kushindwa kuanza kufanya biashara kwa madai kwamba hawana mitaji. Ukweli ni kwamba kwa walio wengi madai ya kutokuwa na mtaji siyo ya kweli badala yake ukweli ni ukosefu wa elimu ya ujasiria mali.

Mfanya biashara Reginald Mengi aliwahi kusema, nami nakubaliana naye kwamba, kama mtu hawezi kufanya biashara kwa kutumia laki 1 na kufanikiwa hata akipwe mtaji wa Mil 100 hawezi kuibadilisha kuwa milion 150 – Haiwezekani kwa sababu Kanuni zinafanana.

Utakuta mtu ni mwl, anataka mtaji, wakati mtaji ni sebule ya nyumbani kwake na wanafunzi watatu hadi 5 wa kuanzia.
Niliwahi kumwuliza rafiki yangu hivi ukipata mtaji wo wote unaotaka wewe ungefanya nini? Akaniambia yafuatayo.
Nitanunua kiwanja kikubwa na kujenga shule kubwa ya sekondary yenye kila kitu – yaani madarasa, mabweni, walimu, maabara, vitabu vyote, viwanja nk – yaani kila kitu. Kisha nitatangaza kwa nguvu ktk vyombo vya habari.

Ukweli ni kwamba huyu rafiki yangu atafeli kwa uhakika kwa sababu, mimi siwezi kumpeleka mwanangu kwenye shule ambayo sijui historia yake hata kama ni kubwa namna gani – it is too risky. Lazima uanze chini kidogo kidogo ili ujenge jina zuri ( reputation). Huyu rafiki yangu, lazima angekwama kulipa mkopo. Kama atafanikiwa ni baada ya muda mrefu. Hapo lazima atakuwa ameshagombana na mwenye pesa – benki.

Shule nyingi ninazofahamu mimi hapa mjini zenye majina makubwa hakuna iliyoanza na wanafunzi 100 au zaidi kama alivyotaka rafiki yangu. Wengi wameanza na watoto chini 10 mfano Esacs, kamene nk.

Ndugu zangu, tujifunze kuanza chini na kupanda juu taratibu. Tusitake makubwa kuliko uwezo wetu. Biashara iko kichwani kwanza kabla haijwa halisi ktk hali halisi.

Biashara NI lazima ianze na kila unachokijua wewe ama una uzoefu nacho na kukipenda. Siyo kile ulichoambiwa kinalipa – hapana. kila Kitu kinalipa, hata kuimba au kuigiza kunalipa. Hoja ni kwamba je, unajua,unazoefu, unapenda na una uwezo kuimba au kuigiza? Na kwa kawaida ukishazingatia hilo, mtaji hauwi tatizo kama ilivyo tatizo kwa wengi sasa. Tatizo la wengi ni ufahamu.

Utakuta mwanasheria anatafuta mtaji wa kufungua ofisi ya huduma YA kisheria Ubungo Plaza – Haiwezekani. Ukimwuliza nani wateja wako wa kukuwezesha kulipa kodi na gharama zingine, Hana jibu. Kumbe alipaswa kuanza kutoa huduma hiyo kuanzia sebulen kwake then ofisi ndogo 80,000 mitaani, kabla ya ubungo Plaza.

Utakuta mtu anataka kwenda china kuchukua mzigo wa mil 50, kabla hajafanya biashara hiyo hiyo hapa bongo na kupata uzoefu kidogo kwa mtaji wa milioni moja au laki 1.

Hoja yangu si kwamba mtaji siyo tatizo la hasha, hoja yangu ni kwamba kwa walio wengi humu jf, tatizo ni ufahamu wa kutojua kitu cha kufanya kuliko tatizo la mtaji. Wapo wachache ambao kweli wana uzoefu na uwezo na wana matatizo la mtaji, lakini si wengi kama tunavyoona vilio vingi hapa JF- jukwaa la uchumi na kwinginepo mtaani. Tatizo la wengi ni ufahamu, agree or not.

Hivi unajua kwanini benki zinawanyima baadhi ya watu fedha na kuwapa wengine. Wanataka kujua kama una uzoefu na kama umeanza chini kuja juu au laa. Wengi hatuwaelewi watu wa benki lakini ukweli ni kwamba benki wana nia njema na sisi. Hataki kutupa pesa nyingi kuliko uwezo na uzoefu wetu wa kulipa. Wanajua kuliko sisi. kutunyima sisi mitaji tunayotaka ni kutusaidia kwamba tukaanzie chini kwanza. Kumbuka benki wapo ili kukopesha. Wanaokopa ndo faida, wanaoweka tu fedha siyo deal kwao. Ukiona wanatunyima maana yake tunakosa uzoefu, tunaka kuanzia juu kama rafiki hapo juu. which is wrong.

Nahitimisha kwa kusema tuwe tayari kuanza chini kidogo kwa faida yetu kwa sababu kanuni ya kubadilisha au kufanya biashara kwa mtaji wa mil 100 kuwa mil 150 ni sawa na kanuni ya kuanzia na laki 1 na kuibadisha kuwa laki 2 kibiashara.
Nawasilisha.

Author(Mdau Mtandaoni)

Advertisements

Tujenge Taifa Kwa Kilimo!

kupitia ukurasa huu tutakuwa tukijadili namna mbalimbali za kupambana na umaskini kupitia kilimo,

leo tutaanza na Kilimo ha Matikiti Maji(Water Mellon)

Mimi nalima aina ya Sugar baby inachukua siku 60 tu kuvuna tangu plus siku 3-5 za kukaa ardhini, kwa hiyo kwa mwaka nalima mara 4 tu nina ekari 5 na kila eka napata kuanzia 2M-3M.

Spacing ni 2mx2m na kila shimo naweka mbegu 2 ambazo zinazaa matunda 2-3 kwa maana kila shimo napata matunda 4-6 ( wastani matunda 5).

Hivyo kwa spacing hiyo napata mashimo 1000-1200

Idadi ya matunda: Mashimo x Matunda kwa shimo x ekari [1,000 x 5 x 5 = 25,000]

Mapato: wastani wa shilingi 500 kwa tikiti x idadi ya matikiti kwa eneo la ekari 5 [25,000 x 500 = 12,500,000]

Mapato kwa mwaka: 12,500,000 x 4= 50,000,000

Gharama za uendeshaji wa shamba ni Tsh 25,000,000

Faida Kuu ni Tshs 25,000,000 M.

Tujenge taifa letu kwa kilimo

Author(Mdaau Wa Kilimo)

Athari za Woga katika Biashara na namna ya kupambana nazo

Unawezaji kupunguza woga wa kushindwa katika biashara?

Wasi wasi wakushindwa umetuzuia hatakuanza, na tumekuwa tukishindwa hata kabla ya kuanza, yaani kabla mtuhajafikilia kuanzisha biashara tiyali ameisha shindwa, hivyo wakuu nimejaribukuangalia baadhi ya njia za kupunguza wasiwasi wa kushindwa kuanza biashara

1. Hakikisha kwamba familia yako haitapata shida wakati utakapokuwa unaanza biashara

-Watuwengi sana wamekuwa wakishindwa kuanza biashara kwa kuhofia familia zao, mtuakifikilia familia yake anaona bora tu aendelee na mshahara wa mwisho wa mwezikuliko kunza biashara halafu familia iteseke
Hiini ulweli kwa sababu kushindwa kwako kutaathiri hadi familia yako, marafikizako, ndugu zako na kazalika, ukiwa na huzuni ya kushindwa biashara hata watotona mke hawatakuwa na furaha kamwe,
Hivyowaandae watoto wako, mke/mme wako kisaikolojia kwanza, na hakikisha kwamba hataukishindwa familia yako haitafeel pain sana, hii itakusaidia

2. Don’t over spend

Watuwengi wamekuwa wkiwa na wasiwasi wa kushindwa kwa sababu ya kutambua kwambawatatumia ghalama kubwa katika biashara,
KAMA NI BIASHARA YAKO YA KWANZA KABISA NA NDO UNAANZA BIASHARA USI OVER SPEND,tumekuwa tunaathiriwa na biashara za wengine, mtu anatembelea ofisi ya kampuniFulani kule BENJAMINI MKAPA TOWE, nay eye anawaza kuwa na vitu kama alivyo onakule, No anza na ulicho nacho, na kwabaisahra ya kwanza usitumie pesa nyingi sana, Kama ni hoteli anza na MABENCHKWANZA make kinacho mata ni huduma na si fanicha, unaweza weka fanicha karisana lakini kama huduma ikiwa mbovu huta muona mtu

3. Fanya market research kwanza

Hiiinaweza kukupunguzia uoga wa kushindwa, make utakuwa na uhakika wa soko baadaya kuwa umefanya research, Watu wengi ni wabishi sana tunaanza biashara kwakuamni kwamba wateja watakuja tu, hii ni makosa makubwa sana,
TUMEKUWATUKIFANYA RESEARCH YETU KWENYE BEI, KAMA KITU KINA LIPA MTU HUANZA BIASHARABILA YA KUJUA ATAMUUZIA NANI,

market research haiko kwenye bei pekee iko sehemunyingi kama vile

– Demand
– Competitors
– Market share
– Population
– Price
– Na kazalika
Tumekuwahatu fanyi hayo yote matokeo yake mtu anakurupuka anaanza kufuga KUKU kisa tumtaani kwao watu wanafuga na inalipa sana, hayo ni makosa makubwa sana wakuu
4. Kila biashara ina Risk yake

Hivyofanyia tambua riski zote zilizoko katika Biashara yako na zifanyie kazi,
Mfano:Ufugaji wa kuku, Watu wamekuwa wakiogopa sana biashara ya kufuga kuku kisa tuugonjwa, sasa kama unafahamu riski kubwa ni ugonjwa ni kwa nini usifanyie kazihili tatizo? Je hakuna madawa? Je tatizo nini?

5. Vitendo, TAKE ACTION OTHERWISE YO FAILED

Kufanyakwa vitendo nako hupunguza wasiwasi wa kushindwa, watu wengi wamekuwa wakiishiakusema nina Business planning nzuri sana, BUSINESS PLANING SI BIASHARA,BUSINESS PKANING NI MAKARATAI, NA KUYAWEKA KATIKA VITENDO NI ISHU NYINGINEKABISA

6. Kumbuka Wajasirimali wakubwa DUNIANI walishindwa mara nyingisana kabla ya kufanikiwa

Ukiwana wasiwasi wakushindwa katika biashara yako, fikilia kwanza kuhusuwajasirimali wakubwa walishindwa kabla ya kufanikiwa, SOMA HISTORIA YA HONDA,wacheki wakina Michaele Dell, mcheki na Henry Ford hawa walishindwa mara kibaokabla ya kuja kufanikiwa

Steve Jobs is a great example. He revolutionized thecomputer and multimedia industry with his marvelous inventions and successstories, but he is also an entrepreneur who had a lot of epic fails. Do youremember Apple I and Apple II computers? They were sold in mere hundreds andwere complete failures. What about Lisa, introduced in the early 1980s? Whatabout NeXT Computer? Do you relate these failures to Steve Jobs? – Not sure…Well yes, he failed on these ones but all of them were followed by greatsuccesses. Check Nick Shulz’ great blogpost, “

WhataboutGoogle? Even great companies such as Google havestartup failures. Google Wave, Google Nexus One, Jaiku, or Google Answers are someexamples of startup projects which required huge investments and in the endthey still failed. Follow this andthis link to readmore about Google startup failures. Thus, we can see that failing is part ofthe learning process and part of your way to success.

To sumup, failing is not such a bad thing. In fact it is a great thing because itteaches you to things you cannot learn without “hitting the ground”.

Fred Wilsonsays:“Whenwe meet with entrepreneurs, I’m always interested in their failures. And mostpeople have them, you just have to dig a bit to find them. If someone hasfailed and taken the time to learn from it, I think that’s a big positive. Itmakes us even more excited to back them the next time. Don’t hide yourfailures. Wear them as a badge of honor. And most of all, learn from them

7. Usiweke mayai yote kwenye kapu moja

Madhara ya kuweka mayai yote kwenye kapu moja ni kwambamara tu kikapu kitakapo dondoka, itakuwa imekula kwako, hivyo basi njianyingine ya kupunuza wasiwasi wa kushindwa ni kujaribu kuwa na SBU nagala mbilihadi tatu,
Unapo anza biashara mathalani ya Hoteli, kuwa basi nabiashara nyingine ya Ufugaji wa kuku au kilimo cha Mboga, hii itakupunguziawasiwasi kwa sababu utakuwa unajua kwamba ukishindwa sehemu moja bado unasehemuya pili ya kufanya vizuri

8. Choma Meli moto/Burn the boat

Huu ni mkakati ulio kuwa ukitumiwa na wagiriki enzi zavita miaka hiyo, Wanajeshi wa Kigiriki walivyo kuwa wakifanikiwa kufika eneo laVita au kwenye uwanja wa vita kitu cha kwanza walicho kuwa wakifanya ni kuchomaVitu vilivyo wafikisha eneo la VITA, walichoma mashua na meli zao zote, hii iliwafanya wasiwe na altenativeyeyote ile zaidi ya kupigana na kushinda vita make wakishindwa bado wata uwauwatu kwa sababu tiyali wameisha choma moto MELI ZAO NA MASHUA ZAO

Na hii iliwafanya wanajeshi wa Kigiriki kuwa na Molari yahali ya juu na ujasiri mkubwa sana na mara zote walikuwa wakishinda

SO? Kama kushindwa na kushinda katika biashara ndooptional pekee zilizopo huna budu kuzifuata zote na kupigana gadi mwisho.

Kama una aidea lakini unaogopa kuanza CHOMA MOTO MELIYAKO na enedelea mbele kwa kuamini kwamba kushindwa hakutakusaidia chochotekile, WAGIRIKI walikuwa wakiamni hata kama wakishindwa ni kazi bure, so na wewefika mahali uamini kwamba hata kama ukishindwa ni kazi bure hivyo ni kupiganatu
WAKUU, fear ya kushindwa huondoka mara tu unapo gunduakwamba haitakusaidia chochote kile

9. Tambua ghalama za furusa unazo ziacha
Kabla hujafikilia kuacha biashara au kuanzisha biasharaFulani fikila ghalama au COST OF MISSED OPPORTUNITIES ambazo utakuwa umeziachapindi ukitemana na biashara.

 

source:

kwa wasio na ajira wanaoishi Dar es salaam,Inaweza kutuhusu

jira ni haba sana mjini.nimekuwa na wazo kama tukijikusanya watu 100 na kutengeneza kitu kama ushirika/shirikisho/company kwa mchanganuo ufuatao.pamoja na ugumu wa ajira;tunaweza kupata 25,000tsh kila mwezi inaleta 2,500,000 kwa mwezi. miezi mitatu 7,500,000. na kuanza biashara yoyote kwa manufaa yetu.lengo hapa ni kujenga mtandao wa kukusanya raslimali zetu.si deci ni shirika kwa mtindo huo.tunatafuta watu 100 tu.tutaunda comapany kwa kufuata companies Act,tutakuwa na Memoranduma of Association na article of association ,ndo vitaongoza daily routine ya company,refer mchanganuo hapa chini.
kila member atakuwa anachangia 25,000/= kwa mwezi kusudi tupate mtaji.
100 members @ 25,000/= 2,500,000/=mwezi mmoja
miezi 3 7,500,000/=capital ya kuanzia biashara
miezi 6 15,000,000/=
miezi 9 22,500,000/=
miezi 12 30,000,000/=
mwaka 1 30,000,000/=
miaka 3 90,000,000/
miaka 5 150,000,000/=
miaka 10 300,000,000/=
miaka 20 600,000,000/=

tarehe za kuzingatia
28th/12/12 kufunga zoezi la usajili
7th/01/13 kikao cha kwanza
interested people watume private message(PM)wapewe namba ya usajili,na wenyue maswali pia,tunakusanya rasilinmali zetu kupata mtaji wa biashara,