kwa wasio na ajira wanaoishi Dar es salaam,Inaweza kutuhusu

jira ni haba sana mjini.nimekuwa na wazo kama tukijikusanya watu 100 na kutengeneza kitu kama ushirika/shirikisho/company kwa mchanganuo ufuatao.pamoja na ugumu wa ajira;tunaweza kupata 25,000tsh kila mwezi inaleta 2,500,000 kwa mwezi. miezi mitatu 7,500,000. na kuanza biashara yoyote kwa manufaa yetu.lengo hapa ni kujenga mtandao wa kukusanya raslimali zetu.si deci ni shirika kwa mtindo huo.tunatafuta watu 100 tu.tutaunda comapany kwa kufuata companies Act,tutakuwa na Memoranduma of Association na article of association ,ndo vitaongoza daily routine ya company,refer mchanganuo hapa chini.
kila member atakuwa anachangia 25,000/= kwa mwezi kusudi tupate mtaji.
100 members @ 25,000/= 2,500,000/=mwezi mmoja
miezi 3 7,500,000/=capital ya kuanzia biashara
miezi 6 15,000,000/=
miezi 9 22,500,000/=
miezi 12 30,000,000/=
mwaka 1 30,000,000/=
miaka 3 90,000,000/
miaka 5 150,000,000/=
miaka 10 300,000,000/=
miaka 20 600,000,000/=

tarehe za kuzingatia
28th/12/12 kufunga zoezi la usajili
7th/01/13 kikao cha kwanza
interested people watume private message(PM)wapewe namba ya usajili,na wenyue maswali pia,tunakusanya rasilinmali zetu kupata mtaji wa biashara,

Advertisements